By Habari Na Matukio
 Mkuu wa Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Kissa Kasongwa akizungumza kwenye ufunguzi wa Wiki ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi katika Mkoa wa Tanga inayofanyika katika Stendi ya zamani ya mabasi, Manundu. Wengine ni Mkurugenzi wa Sheria wa Sekretariati ya Bodi na Huduma za Kisheria wa TRA Makao Makuu Salim Beleko (kulia) na Kushoto ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Korogwe Rehema Bwasi.
Mkurugenzi wa Sheria wa Sekretariati ya Bodi na Huduma za Kisheria wa TRA Makao Makuu Salim Beleko akizungumza kwenye...
Views : 23. Votes : 0. Shares : 0.