By Mwananchi
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Mtwara imewafikisha katika Mahakama ya Wilaya ya Nanyumbu washtakiwa wawili kwa makosa ya rushwa, kughushi na utakatishaji fedha.
Views : 12. Votes : 0. Shares : 0.