By Mwananchi
Upande wa utetezi umeiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ufunge ushahidi katika  kesi  ya kuendesha mtandao ambao haujasajiliwa nchini kwa kikoa cha .co .tz (Tanzania domain) inayomkabili mkurugenzi mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo na Micke William.
Views : 21. Votes : 0. Shares : 0.