By Mwananchi
Shirika la Under the Same Sun kupitia mfuko wake wa Vivian Grace Ash limetoa msaada wa kompyuta mpakato kwa wanafunzi 21 wenye ualbino kutoka vyuo mbalimbali nchini.
Views : 13. Votes : 0. Shares : 0.