By Mwananchi
Serikali kwa kushirikiana na kampuni ya mafuta ya Total imesema itafanya utafiti wa mafuta nchini ili kuongeza kasi ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati kwa kutegemea kiwango cha mafuta kitakachogunduliwa
Views : 15. Votes : 0. Shares : 0.