By Bongo 5
Rais Donald Trump ametangaza hali ya dharura kwa ajili ya kuilinda mifumo ya kompyuta dhidi ya ” wapinzani wa kigeni”
Rais huyo wa Marekani amesaini sheria ya utaratibu wa utendaji ambayo inazuwia mara moja makampuni ya Marekani kutumia mawasiliano ya kigeni yanayoaminiwa kuhatarisha usalama wa nchi hiyo.
Bwana Trump hataji kampuni yoyote katika agizo hilo.
Muasisi wa Huawei Ren Zhengfei aliwahi kusema kuwa Marekani haiwezi kumaliza biashara zakeKwa mujibu wa shirika la habari la BBC, Hata hivyo...
Views : 12. Votes : 0. Shares : 0.