By Mwananchi
Raundi mbili zilizobaki kabla ya pazia la Ligi Kuu Tanzania Bara kufungwa zinakabiliwa na ushindani mkali wa timu 12 ambazo hadi sasa hazijajua hatima zao kama zitashuka au zitabaki kwenye mashindano hayo msimu ujao.
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.