By Mwananchi
Serikali imesema wafanyabiashara watakaokuwa na mifuko ya plastiki katika maghala yao hadi Juni Mosi na kutaka kuuza nje ya nchi watalazimika kupata kibali cha Ofisi ya Makamu ya Rais na watasindikizwa hadi mpakani.
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.