By Jiachie
NA SAMIA CHANDE, RUFIJI
NAIBU Waziri wa Nishati Mhe. Subira Mgalu amewasha umeme katika vijiji vya Muhoro Mashariki na Magharibi wilayani Rufiji Mkoani Pwani leo Mei 22, 2019 ikiwa ni muendelezo wa Serikali kuhakikisha watanzania wote wakiwemo wa vijijini wanapata umeme.
Akiwaelimisha wananchi kuhusu gharama za kuunganishiwa umeme wakati wa hafla hiyo iliyofanyika shule ya msingi Nyampapu iliyoko kijiji cha Muhoro Mashariki, Naibu Waziri alisema serikali inaowajibu wa kumlinda mlaji na mtumiaji...
Views : 13. Votes : 0. Shares : 0.