By Bongo 5
Nchi za Algeria na Argentina zimethibitishwa rasmi na Shirika la afya duniani (WHO) kuwa zimetokomeza ugonjwa wa Malaria.
Kwenye taarifa hiyo iliyotolewa na WHO, imeonesha katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita hakuna hata kisa kimoja kilichoripotiwa cha mgonjwa wa malaria katika nchi hizo.
Ugonjwa wa Malaria unaambukizwa kwa kuumwa na Mbu Jike na ni moja ya magonjwa yanayoongoza kwa vifo duniani.
Takwimu za mwaka 2017 pekee zilionesha visa Milioni 219 kuripotiwa na vifo zaidi ya Laki 4 vya M...
Views : 9. Votes : 0. Shares : 0.