By Bongo 5
Kila tarehe 23 ya mwezi wa tano kila mwaka Tanzania inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha siku ya kutokomeza Fistula ya uzazi. Ifikapo siku ya leo wadau wanaangalia na kutafakari jitihada ambazo zimeshafanyika katika kuhakikisha tatizo hilo ilapungua na kupotea kabiasa.
The post Siku ya Fistula: Wanawake wenye elimu ndogo ndio waathirika wakubwa (Video) appeared first on Bongo5.com.
Views : 9. Votes : 0. Shares : 0.