By Jiachie
 Mkurugenzi wa Mawasiliano Airtel Tanzania Beatrice Singano na Mkurugenzi wa Masoko Airtel Tanzania Isaack Nchunda wakionyesha bango baada ya  ya Airtel kuzindua huduma mpya inayojulikana kama ‘TAMBA MITANDAO YOTE’, huduma hiyo ina lengo la kuwapa wateja wake suluhisho na uhuru wa kuchagua huduma ya mawasiliano ambayo ni nafuu zaidi wakati wowote hata kama mteja hajajiunga na bando. 
 Mkurugenzi wa Mawasiliano Airtel Tanzania Beatrice Singano akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Sal...
Views : 22. Votes : 0. Shares : 0.