By Jiachie
Mkuu wa kitengo cha wateja wadogo na kati wa Benki ya Exim Tanzania, Bw Andrew Lyimo (kulia) sambamba na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo wakizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo walioudhuria hafla ya futari iliyoandaliwa kwa ajili ya wateja wa huduma za reja reja wa benki hiyo iliyofanyika kwenye hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam jana.
Mkuu wa kitengo cha wateja wadogo na kati wa Benki ya Exim Tanzania, Bw Andrew Lyimo (kulia) akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo wa...
Views : 11. Votes : 0. Shares : 0.