By Habari Na Matukio
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akijiandaa kuaza Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi,wa Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kwa kipindi cha mwezi wa Julai 2018 hadi March 2019, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za...
Views : 20. Votes : 0. Shares : 0.