By Mwananchi
Mwenyekiti wa  Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA ) Wilaya ya Rufiji na Kibiti Mkoa wa Pwani, Maxmillian Masero amesema wakulima nchini Tanzania wanakabiliwa na changamoto kuu mbili za uzalishaji na uhifadhi.
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.