Baadhi ya wananchi waliofika kuangalia majina yao katika vituo vya kupigia kura hawakujaona, wengine walioyaona, hivyo kufurahi na kusubiri kupiga kura kesho
Baada ya takriban siku 60 za kujinadi kukamilika leo, wagombea urais, ubunge na udiwani kesho watakuwa wakishuhudia jinsi wapigakura milioni 29.188 watakavyokuwa wakiamua vita yao.
Katika historia ya jamii za binadamu, elimu ndio msingi wa maendeleo. Hata katika zama za sasa jamii zote zilizoendelea na zinazoendelea, maendeleo ya elimu huenda sambamba na maendeleo ya watu. Taifa letu, tangu kupata uhuru mwaka 1961 limeweka kipaumbele katika maendeleo ya eli...
Ni ukweli ulio dhahiri kuwa katika moja ya taasisi za Serikali ambazo zimefaidika na miaka mitano ya Rais Magufuli, ni Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI).Taasisi hii imeimarika ndani ya miaka mitano iliyopita na pasi na shaka, itaendelea kujiimarisha zaidi katika utoaji wa hudu...
Tatizo la vichwa vikubwa na mgongo wazi (Spina Bifida and Hydrocephalus) ni ulemavu ambao mtoto huzaliwa nao, chanzo kikiwa ni ukosefu wa madini ya foliki asidi kwa mama kabla ya kubeba ujauzito.