Jiachie
SERIKALI IMEPOKEA GAWIO LA SH. BILIONI 6.8 KUTOKA CRDB
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (katikati) akiwa ameshika hundi kifani ya Sh. bilioni 6.8 aliyoipokea kama gawio la Serikali kutoka Benki ya CRDB, kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo  Dkt. Khatibu Kazungu, kushoto ni Balozi wa Denmark nchin...
Views : 12. Votes : 0. Shares : 0.
 
Habari Na Matukio
TBL YASHIRIKI SIKU YA UCHANGIAJI DAMU DUNIANI 2019
Kampuni ya Tanzania Breweries Limited (TBL) chini ya kampuni mama ya kimataifa ya ABInBeb, imeshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Uchangiaji Damu Duniani mwishoni mwa wiki iliyopita.
Katika maadhimisho hayo kampuni iligawa kinywaji chake pendwa kisicho na kilevi cha Gland Malt,...
Views : 14. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 5. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
Kwa Rayvan kazi zake zote ngumu
Kama wewe ni mtunzi na unatunga bila kufikiria huo wimbo unaimbwaje unahitaji darasa kutoka kwa staa wa lebo ya WCB Raymond Mwakyusa maarufu Rayvanny.
Views : 7. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
ACT Wazalendo chatoa maoni taulo za kike
Baada ya Serikali kupendekeza kurudisha Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye taulo za kike, chama cha ACT Wazalendo kimetoa ushauri jinsi ya kushughulikia suala hilo kwa manufaa zaidi.
Views : 4. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
Views : 7. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
Bobi Wine: Tuna nguvu kumkabili Rais Museveni
Mbunge wa Kyadondo Mashariki nchini Uganda, Robert Kyagulani maarufu Bobi Wine amesema ana matumaini ya upinzani kumpa ushindani mkali Rais Yoweri Museveni katika uchaguzi wa 2021.
Views : 4. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
DNA yaonyesha Sharon, Melon ni pacha
Uchunguzi wa vinasaba (DNA) umebainisha wasichana Sharon Mathius na Melon Lutenyo ni pacha ambao mama yao halisi ni Rosemary Khaveleli Onyango.
Views : 10. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 11. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 8. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 9. Votes : 0. Shares : 0.