Azam yadhamiria kuondoa tatizo la vichwa vikubwa na mgongo wazi kupitia ngano bora

Tatizo la vichwa vikubwa na mgongo wazi (Spina Bifida and Hydrocephalus) ni ulemavu ambao mtoto huzaliwa nao, chanzo kikiwa ni ukosefu wa madini ya foliki asidi kwa mama kabla ya kubeba ujauzito.