Mwananchi
Magufuli atengua uteuzi wa DC, DED Malinyi
Taarifa iliyotolea leo Jumanne Septemba 17, 2019 na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu imesema Rais wa Tanzania, John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Malinyi (DC), Majura Kasika na mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya hiyo (DED), Mussa Mnyeti
Views : 13. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 12. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 14. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 12. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
Mambo magumu kwa waziri Netanyau
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu ambaye anawania nafasi hiyo kwa muhula wa nne mfululizo anakabiliwa na ushindani mkali.
Views : 12. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 11. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 11. Votes : 0. Shares : 0.
 
Wor'Out Media
WAZIRI MKUU AAGIZA GARI LA WAGONJWA LIPELEKWE IFAKARA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi wa Kibaoni, katika Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa na ni mke wake, Mary Majaliwa (kushoto), akizungumza na wananchi, wakati alipokagua kituo cha Afya Kibaoni, katika Wilaya ya Kilombero,...
Views : 9. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
Views : 10. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
Zec yatangaza kuanza kuandikisha wapiga kura
Wakati ikiwa imebaki mwaka mmoja kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (Zec) imesema inatarajia kufanya kazi ya uandikishaji wapiga kura wapya hivi karibuni.
Views : 10. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 9. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 8. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
Dully Sykes, Lady Jay Dee majaji wapya BSS msimu wa 10
Wakati msimu wa kumi wa kusaka vipaji vya kuimba katika shindano la Bongo Star Search (BSS) ukitarajiwa kuanzia Septemba  28 hadi 29, 2019 mmoja wa majaji maarufu Salama Jabir hatakuwepo kwa mara ya kwanza kama jaji wa shindano hilo tangu lilipoanzishwa miaka 10 iliyopita.
Views : 11. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 7. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 8. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 6. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 6. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
Views : 10. Votes : 0. Shares : 0.