Matokeo ya ubunge yanayoendelea kutangazwa leo Alhamisi Oktoba 28, 2020 yanaonyesha wagombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuibuka na ushindi katika majimbo mengi.
Kamanda wa Polisi anasema yeyote ambaye hajaridhishwa na matokeo au mchakato mzima kuna mamlaka zinazohusika apeleke malalamiko badala ya kuchukua sheria mkononi.
Johannesburg, Afrika Kusini (AFP). Mechi ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Zamalek na Raja Casablanca itakayofanyika Misri iko shakani kufanyika kutokana na janga la virusi vya corona katika klabu ya Morocco.