UN, AU zaishauri Guinea kumuachia mpinzani

Wawakilishi wa kimataifa wanaosuluhisha mgogoro uliotokana na uchaguzi mkuu uliofanyika wiki iliyopita nchini Guinea, wameishauri Serikali kumuondolea kifungo cha nyumbani kiongozi wa upinzani, Cellou Dalein Diallo.