Habari Na Matukio
TBL YASHIRIKI SIKU YA UCHANGIAJI DAMU DUNIANI 2019
Kampuni ya Tanzania Breweries Limited (TBL) chini ya kampuni mama ya kimataifa ya ABInBeb, imeshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Uchangiaji Damu Duniani mwishoni mwa wiki iliyopita.
Katika maadhimisho hayo kampuni iligawa kinywaji chake pendwa kisicho na kilevi cha Gland Malt,...
Views : 14. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 5. Votes : 0. Shares : 0.
 
Habari Na Matukio
KATIBU MKUU WA MALIASILI NA UTALII ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA TAIFA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Prof Adolf Mkenda jumamosi tarehe 15 Juni, 2019 alitembelea Makumbusho ya Taifa kujionea urithi na hazina kubwa ya Taifa la Tanzania. Urithi huu wa utamaduni na asili ni pamoja na mafuvu na masalia ya binadamu wa kale au zamadamu, kam...
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
 
Habari Na Matukio
HAPPY BITHDAY PRESIDENT FELIX TSHISEKEDI
Rais Dkt.Magufuli amumwandalia mgeni wake Rais Felix Tshisekedi keki ya Birthday ampongeza kwa kusherekea miaka 57 ya kuzaliwa akiwa nchinimTanzania Wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia Ikulu Jijini Dar es salaam. June 13, 2019.
Rais Dkt.Magufuli akimtumbuiza mgeni wake Ra...
Views : 12. Votes : 0. Shares : 0.
 
Habari Na Matukio
Views : 16. Votes : 0. Shares : 0.
 
Habari Na Matukio
UPATIKANAJI WA DAWA DODOMA WAFIKIA ASILIMIA 99.8
 Naibu Waziri  wa Kazi, Vijana na Ajira, Mhe.  Anthony Mavunde  akizungumza jana na waandishi wa habari pamoja na maofisa wa Bohari ya Dawa (MSD), ambao wapo mkoani humo kwa ziara ya kutembelea wateja wao na kujua changamoto zao.
 Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa Dodoma, A...
Views : 15. Votes : 0. Shares : 0.
 
Habari Na Matukio
RAFIKI WA KWELI!!
Je, una marafiki wanao kuhamasisha kufikia ndoto zako? Je, unao marafiki wanaosaidia kuyafikia matarajio yako? Je, unao marafiki wanaotamani kuona unafanikiwa maishani?
Kama unao watu/marafiki wa namna hiyo basi jihesabu kuwa miongoni mwa watu wenye bahati kubwa duniani! Marafiki...
Views : 12. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 9. Votes : 0. Shares : 0.
 
Habari Na Matukio
Views : 24. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 10. Votes : 0. Shares : 0.