Jiachie
MAKAMU WA RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA AFYA WA NCHI ZA SADC
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergmena Tax  baada ya kufungua Mkutano wa siku tano kwa Mawaziri wa Sekta ya Afya na Ukimwi  kwa Nchi Kumi na Sita Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa...
Views : 40. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
NMB YATOA MISAADA YA MILIONI 110 UKEREWE,TABORA,SONGEA
Siriel Mchemba (Mwenye miwani) akipokea moja ya vifaa tiba kutoka kwa Meneja wa NMB Kanda ya Mashariki – Baraka Ladislaus kwa ajili ya kituo cha afya Gairo mkoani Morogoro. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Agnes Mkandya na Mganga M.fawi...
Views : 47. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 25. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
NBC PROFITS TRIPLE
The National Bank of Commerce (NBC) the country’s oldest bank, with
over 50 year of serving the financial sector in Tanzania, has posted
impressive profits during the third quarter of the year. According to the third
quarter financial statement, that was released on 30 th October...
Views : 30. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
Views : 38. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
NYAVU HARAMU ZENYE THAMANI YA SH.Mil 39.3 ZATEKETEZWA KWA MOTO.
Shehena ya Vyavu haramu aina na Makokoro vilivyokamatwa katika Operesheni   inayoendelea  katika vijiji vinavyolizunguka bwawa la Nyumba ya Mungu vikiwa tayari kwa kuteketezwa kwa moto.
Na.Vero Ignatus,Kilimanjaro.
Mkuu wa Wilaya ya Mwanga  Thomas Apson,ameteketeza  kwa moto nyav...
Views : 40. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 38. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 32. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
MWONGOZO WA UWEKEZAJI WA MKOA WA MWATARA WAZINDULIWA
NA K-VIS BLOG/Khalfan Said, Mtwara
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa amezindua Mwongozo wa Uwekezaji Mkoani Mtwara (MIG) katika Kongamano la Uwekezaji na Maonyesho ya Biashara lililofanyika kwenye viwanja vya Chuo Cha Ualimu Mtwara.
Mwongozo huo...
Views : 46. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
Benki ya NBC yadhamini Gofu ya Mabalozi visiwani Zanzibar
Meneja wa NBC Tawi la Zanzibar, Ramadhani Lesso (kushoto) akipongezana na Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Damas Ndumbaro, huku mchezaji mwenzao Mbunge wa Kenya, Kassim Sawa akiwangalia wakati wa mashindano ya kwanza ya gofu ya Mabalozi...
Views : 33. Votes : 0. Shares : 0.