Jiachie
Views : 31. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
Benki ya NMB yatwaa Tuzo ya NBAA kwa mwaka mwingine mfululizo.
BENKI ya NMB imetwaa tuzo maalum kutoka Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu(NBAA) kama Benki bora ya Taarifa za Kifedha zilizokaguliwa na kutambuliwa kimataifa kwa mwaka 2018,ilikoshinda benki kadhaa nchini.
Benki hiyo imetambuliwa kwa kufikia kiwango bora katika utay...
Views : 65. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
Benki ya Barclays yatwaa ushindi Tuzzo za NBAA
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Amina Shaban (wa pili kushoto), akikabidhi tuzo ya mshindi wa tatu katika kitengo cha mabenki makubwa ya Mwasilishi Bora wa Hesabu zinazotolewa na  Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Mahesabu (NBAA) kwa Kaimu  Mkurugenzi wa Idara ya...
Views : 73. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 54. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
Washindi wa wiki promosheni ya kishindo cha kufunga mwaka walamba mil.5
Meneja wa Tigo Kanda ya Ziwa, Gwamaka Mwakilembe Akimkabidhi Mausel Magesa Mshindi Wa Milioni Tano katika promosheni ya kishindo ch kufunga Mwaka mkoani Mwanza Mapema wiki hii. 
Mkurugenzi Wa Tigo Kanda Ya Kaskazini Aidan Komba Akimkabidhi Elizabeth Makala Mshindi Wa Milioni Tano...
Views : 64. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
Views : 50. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 38. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
BENKI YA NMB YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI TISA KAMPENI YA MASTABODA
BENKI ya NMB imekabidhi zawadi kwa washindi tisa wa MastaBoda kama washindi wa wiki baada ya kufikisha miamala hamsini kupitia mfumo wa malipo wa Mastercard QR katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam. Zoezi hilo liliendeshwa na Meneja Mahusiano Kitengo cha Kadi- Yusuph...
Views : 49. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
NBC yaendelea kuwapa mbinu za kibiashara wafanyabiashara jijini Dar
 Mkurugenzi wa Bima wa Benki ya NBC, Benjamin Nkaka (kulia) akisalimiana na wafanyabiashara wadogo na wa kati wa maeneo ya Ubungo katika semina ya siku moja ilyoandaliwa na benki hiyo kwa lengo la kuwawezesha kimafunzo kuhusu ukuaji za mbinu za kufanya biashara zao  jijini  Dar e...
Views : 42. Votes : 0. Shares : 0.