Jiachie
WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA MAJI WA SAME-MWANGA- KOROGWE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Kiongozi wa Mradi, Richard Magwizi, wakati akikagua mradi wa maji wa Same, Mwanga, Korogwe (SMK) ,uliyopo katika kijiji cha Kinya-Nyumba ya Mungu, Julai 20.2019. Katikati ni Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso. (Pich...
Views : 16. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 15. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
Waziri Mkuu atembelea shamba la katani la Hassan Sisal Estate Makanya.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa ameshika jani la katani, wakati alipotembelea shamba la katani la Hassan Sisal Estate Makanya, wilayani Same katika mkoa Kilimanjaro Julai 19.2019. Anayetoa maelezo ni Meneja Mshauri wa shamba hilo, Ndekirwa Nyari.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, a...
Views : 10. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
WAZIRI MKUU AWAFUNDA WATUMISHI WA UMMA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia vitabu katika maktaba iliyokarabatiwa ya Shule Kongwe ya Same Sekondari, katika mradi wa ukarabati wa shule hiyo kongwe mkoani Kilimanjaro, Julai 19.2019. Kushoto ni Mwalimu Mkuu wa Shule ya Same Sekondari Hoza Mgonja. (Picha na Ofisi ya Wa...
Views : 11. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
BENKI YA NMB YAWAKUTANISHA WAFANYABIASHARA WILAYANI KIBAHA
Meneja Mwandamizi wa Benki ya NMB Idara ya Biashara Makao Makuu, Bw. Wogofya Mfalamagoha akimkabidhi cheti maalum cha pongezi kwa kufanya biashara kwa uaminifu, Bi. Salome Shayo kilichotolewa na Benki ya NMB kwenye Kongamano la Klabu ya Biashara ya NMB wilayani Kibaha jana. 
Mene...
Views : 10. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 7. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
Views : 14. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 11. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
Uzinduzi wa duka la jipya la Vodacom mkoani Arusha
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo (kulia) na Mkuu wa mauzo wa Vodacom Kanda ya Kaskazini, Brigita Stephen wakizindua duka la Vodacom litakalowahudumia wateja eneo la Kwamrombo jijini Arusha, wa tatu kushoto ni mdau wa Vodacom Bakari Fungo. Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo...
Views : 9. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
UVCCM yatamba kumpa kura za heshima JPM
Makamu Mwenyekiti wa UVCCM, Tabia Mwita akiwa ameshika zawadi ya picha ya Rais Dk. John Magufuli. 
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam, Mussa Kilakala, akiendesha mnada wa keki ambayo ilinunuliwa kwa Sh milioni 1.8 Kulia ni mgeni rasmi Makamu Mwenyekiti wa UVCCM, Tabia Mwit...
Views : 10. Votes : 0. Shares : 0.