Mwananchi
Makamba azungumzia tena kutenguliwa kwake
Aliyekuwa Waziri wa  Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba amemshukuru Rais wa Tanzania, John Magufuli kwa kumwamini katika nafasi hiyo.
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
Waziri Bashungwa atoa maagizo kwa viwanda vya Arusha
Waziri wa Viwanda na Biashara wa Tanzania, Innocent Bashungwa  amevitaka viwanda vya A to Z na Sunflag vilovyopo jijini Arusha kutengeneza vifungashio vya bidhaa za wajasiriamali wadogo ili kuwasaidia kupata masoko na kukuza biashara zao.
Views : 5. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 5. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
Bashe azungumzia uteuzi wake
Hussein Bashe  amemshukuru Rais wa Tanzania, John Magufuli kwa kumteua kuwa naibu waziri wa kilimo huku akiahidi kwenda kutoa mawazo mapya ndani ya wizara hiyo inayochangia asilimia 28 ya pato la taifa (GDP).
Views : 8. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 7. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
Makamba atoa kauli ya kwanza, Zitto amkaribisha
Baada ya Rais wa Tanzania, John Magufuli kutengua uteuzi wa aliyekuwa waziri ofisi ya makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba na nafasi yake kumteua mwingine, Makamba ametoa kauli yake ya kwanza baada ya uamuzi huo.
Views : 12. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 5. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 5. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 7. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
Views : 11. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 10. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 9. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 9. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
Iran yakamata meli mbili za Uingereza
Jeshi la Kimapinduzi la Iran limesema limekamata manowari yenye bendera ya Uingereza katika lango la bahari la Hormuz baada ya kukiuka sheria za kimataifa za baharini.
Views : 9. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 6. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 8. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
Mahabusu, wafungwa kesi za 'kuku' kuachiwa huru
Mwanza. Mahabusu wenye kesi ndogondogo na wafungwa ambao watabainika kubambikiwa kesi, watoto, wazee na makundi mengine yenye mahitaji maalum wanatarajiwa kufutiwa kesi na vifungo vyao baada ya Rais John Magufuli wa Tanzania kuagiza uhakiki wa kuwabaini kufanyika kwenye magereza...
Views : 10. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 6. Votes : 0. Shares : 0.