Mwananchi
Views : 4. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
Views : 4. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
Alichokisema Magufuli mbele ya Rais Ramaphosa
Rais wa Tanzania, John Magufuli amezitaka nchi za Tanzania na Afrika Kusini kujikita katika ujenzi wa viwanda huku akifungua milango kwa wanaotaka kujenga viwanda nchini na kuweka wazi hali halisi ya sasa kiuwekezaji.
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
Rais wa Afrika Kusini atua Tanzania
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ameingia nchini Tanzania usiku wa kuamkia leo Alhamisi Agosti 15,2019 kwa ziara ya siku mbili kufuatia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo, John Magufuli.
Views : 5. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 5. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
Bodi ya mikopo Tanzania yaongeza muda kwa waombaji
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) nchini Tanzania  imeongeza muda wa kuomba mkopo kwa njia ya mtandao kwa siku tano ili kutoa fursa kwa waombaji ambao hawajakamilisha maombi yao.
Views : 7. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 6. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 7. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 4. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 4. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
RC Mtaka ataja sababu za kutengua agizo la DC Bariadi
Mkuu wa mkoa wa Simiyu (RC) nchini Tanzania, Anthony Mtaka ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuchunguza tukio la kupotea kwa mashine ya Ultra Sound ya hospitali ya mji wa Bariadi na kupendekeza hatua za kinidhamu na kisheria zinazostahili kuchukuliwa.
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
Mkapa asema SADC ina matamanio mengi yasiyotekelezeka
Rais mstaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa amesema licha ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuwa na programu na matamanio mengi tangu ilipoanzishwa, matamanio hayo yameshindwa kutekelezeka huku nchi hizo zikikabiliwa na changamoto za umasikini.
Views : 5. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.