Bongo 5
Ngoma ‘Kibenten’ yampa usumbufu Beka Flavour
Msanii wa muziki Bongo, Beka Flavour amekiri kupata usumbufu mara baada ya kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Kibenten.
Muimbaji huyo ameiambia The Playlist ya Times Fm kuna baadhi ya watu wamedhani kuwa wimbo huo ulitungwa kuwalenga wao moja kwa moja kitu ambacho si...
Views : 7. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
Nimetimiza ndoto zangu kwa asilimia ndogo – Mr. T Touch
Producer ambaye kila siku anatoa hits hapa Bongo, Mr. T Touch amesema yale aliyofanikisha katika muziki ni machache ukilinganisha na kile alichodhamiria.
Mr. T amesema iwapo hadi sasa kama muziki umeshampatia faida anayostahili hawezi kuwa na takwimu za moja kwa moja ila kuna kit...
Views : 6. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
Views : 1. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
Mhe. Zitto Kabwe anyimwa dhamana, Apelekwa mahabusu Morogoro
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini Mhe. Zitto Kabwe jana usiku alikamatwa na kuchukuliwa maelezo katika Kituo Kikuu cha Polisi cha Mkoa wa Morogoro, ambapo baada ya maelezo hayo yaliyodumu kwa saa moja alipelekwa mahabusu kwa kunyimwa dhamana.
Mhe. Zitt...
Views : 7. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
Views : 7. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
Zitto Kabwe ‘atema cheche’ baada ya kuachiwa huru kwa dhamana
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Mhe. Zitto Kabwe amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kutoka Mahabusu alikokuwa anashikiliwa toka jana Alhamisi usiku alipokamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro.
Mhe. Zitto Kabwe
Zitto amesema kukamatwa kwake hakumfanyi asitishe ziara y...
Views : 5. Votes : 0. Shares : 0.