Bukoba Feb 22, 2017

  • TANZIA KIFO CHA TWAHA (MSOKE ) YUNUS !

    Tumepokea kwa Masikitiko taarifa za kifo cha Bw. Twaha Msoke aliyekuwa Meneja wa Lake Hotel,Kifo kimetokea muda mfupi tu usiku huu katika hospital ya Mkoa Kagera. Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un!!!!

 
Bukoba Feb 21, 2017

 
Bukoba Feb 21, 2017

 
Bukoba Feb 20, 2017

  • MWENYEKITI WA CHADEMA ADIWA MBALONI

    Jeshi la Polisi limemtia mbaroni Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na anapelekwa Kituo Kikuu(Central) cha Polisi jijini Dar. Siku ya Jumamosi Kamanda Simon Sirro alimpa kiongozi huyo muda wa saa 48 za kujisalimisha vinginevyo watamtafuta kwa njia wanazozijua wao. 

 
Bukoba Feb 19, 2017

 
Bukoba Feb 18, 2017

  • MUSHEMBA TRINITY SCHOOL NI TUNDA LINALOCHIPUKIA KAGERA NA TANZANIA

    Mushemba Trinity School Bukoba ni shule ambayo ilianzishwa mwaka 2012 ikiwa na watoto 26 hasa wenywe uitaji katika jamii lakini pia kutoka katika familia za kawaida, ni shule ya Bweni na kutwa, ila kwa sasa inapokea watoto wasichana tu kwa ajili ya kulala kuanzia miaka 4 na ku...

 
Bukoba Feb 17, 2017