Jiachie
VIJANA WA SERENGETI BOYS WAKABIDHIWA KADI ZA BIMA YA AFYA NA NHIF
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umetoa kadi za bima kwa wachezaji wote 23 wa timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 'Serengeti boys' kwa ajili ya masuala ya matibabu.Kaimu Mkurugenzi na Masoko Mfuko huo Angela Mziray alisema wamek...
Views : 1. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
RC MOROGORO ATOA RAI KWA VIJANA KUUNDA VIKUNDI
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Kebwe S. Kebwe ametoa rai kwa vijana kujiweka katika vikundi ili wapate fursa za kupata mikopo kutoka Serikalini na kwa wadau mbalimbali. Mkuu wa Mkoa ametoa rai hiyo leo mkoani Morogoro alipokuwa akizungumza na mwandishi w...
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
NINAYO YASHIRIKIANA NA HEIFER INTERNATIONAL KUWANUFAISHA WAKULIMA
  Afisa mtendaji mkuu na mwanzilishi wa kampuni ya NINAYO Jack Langworthy akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari juu ya kuanzisha ushirikiano baina ya kampuni hiyo na shirika lisilo na kiserikali la Heifer utakaowawezesha wakulima kufikia masoko kupitia njia ya mtandao...
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
camera za usalama zaanza kuwekwa bara barani Zanzibar
Mafundi wakiweka Security Camera katika sehemu mbali mbali za Mji wa Unguja,Camera hizo zitaweza kufanikisha kuonekana kwa matukio mbali mbali ya Barabarani ikiwemo ajali pamoja na matukio us Uhalifu.Copyright 2007 ©MICHUZI JR
Views : 4. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
MKUU WA MKOA WA TANGA, MARTIN SHIGELLA AWAPIGA MSASA MAKATIBU TAWALA
Tanga, MKUU wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigella, amesema Utafiti mpya wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi kwa kutumia mfumo wa (CD4T-cell count) utasaidia kupunguza maambukizi ya Ukimwi. Amesema Utafiti huo utaangazia pia kuwepo kwa Viashria vya Usugu wa dawa, kiwango cha maambukizo...
Views : 1. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.