Mwananchi
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
CUF-Maalim wazuiwa kufanya usafi Buguruni Jumapili
 Kamanda wa polisi, mkoa wa kipolisi Ilala Salum Hamduni amesema wamewazuia wafuasi wa CUF wanaomuunga mkono Katibu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad kufanya usafi katika ofisi za chama hicho Buguruni.
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
RC Mongella atatua mgogoro ujenzi wa kituo cha polisi, kanisa
Mgogoro kuhusu kiwanja kinachojengwa kituo cha polisi uliohusisha Serikali ya Mtaa wa Majengo Mapya, Kata ya Mkolani na Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), umemalizika baada ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella kuagiza kigawanywe mara mbili.
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
Kasi ya ukuaji uchumi nchini kushuka-Ripoti
Kasi ya ukuaji wa uchumi inatarajiwa kushuka kutoka asilimia 7.0 mpaka kufikia asilimia 5.6 mwaka huu kutokana na ukame na kutokuwapo kwa mazingira rafiki kwa sekta binafsi.
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
Sekta ya uchukuzi yakomba bajeti ya Mawasiliano
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa ameomba Sh4. 5 trilioni kwa ajili ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka 2017/18 huku mgawo mkubwa wa Sh2.57 trilioni ukielekezwa kwenye sekta ya uchukuzi.
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.